mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hakuna cha goli zaidi hapo!! Yanga overated!!Au Yanga timu yao inaendeshwa kwa Goli la mama ? Mbona wanapenda kufunga magoli mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha goli zaidi hapo!! Yanga overated!!Au Yanga timu yao inaendeshwa kwa Goli la mama ? Mbona wanapenda kufunga magoli mengi
Mkuu umekunywa wanzuki ama double kick!?Yanga pale ni Chama tu.
Bila Chama Yanga ya sasa haina tofauti kubwa na Lipuli iliyoboreshwa.
Niko hapa JF, siteseki chochote.
Game bado mbichi hii, lolote linaweza kutokea. Hawa vijana wa Ethiopia wakitulia fresh bado wana nafasi nzuri ya kupindua meza.
Simba kesho hata tununue marefa, kwa hakika hatuwezi kutoboa. Labda tukaze ili twende kwenye penati, huko labda. Yule muarabu anajua kutatandaza soka la uhakika.Simba kazi anayo Kwa muarabu yule ndio unapomhitaji mtu km Chama aweze fungua defence,sioni wakufanya hayo Kwa Simba kesho
Nilidhani umempiga mhindi 5M kwenye betting, kumbe unashangilia hela za akina Mzize
Yanga ya sasa bila Chama imepoa kuliko barafu.Mkuu umekunywa wanzuki ama double kick!?
Yani Yanga muhimili uwe chama??
Kwani msimu ulioisha tuliwafungaje 5 na Chama akiwa Simba??
Amkaaaa weweNiko hapa JF, siteseki chochote.
Game bado mbichi hii, lolote linaweza kutokea. Hawa vijana wa Ethiopia wakitulia fresh bado wana nafasi nzuri ya kupindua meza.
Mkuu embu kata kilevi ulichokunywa.Yanga ya sasa bila Chama imepoa kuliko barafu.
Wanajiepusha na dhahama kama za Gor MahiaCBE ni kama wamepaki bus