joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unaharaka sana huyu nae anajiunga kwenye lile chama la walio kula tano bado moja.Gooool, Aziz K. ila, nimetazama sana mechi za Yanga, naona kama kila wanavyoenda mbele wanazidi kushuka, ni kama wameanza kuamini wao ni wakubwa mno ilihali waendapo ni kugumu zaidi ya walipotoka, walipotoka hakuna mpinzani aliyewatilia maanani sana tofauti na sasa CBE inakaza.