FT: ZED FC 1-1 Azam FC | Kombe la shirikisho Afrika Oktoba 16, 2026

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,091
Reaction score
2,283
Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya mchezo wa kusisimua wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) ambapo wawakilishi wa Tanzania, wanalambalamba Azam FC, wako ugenini nchini Misri kupambana na wenyeji wao ZED FC.

Mchezo huu wa kwanza wa raundi ya pili ya hatua ya awali unapigwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Cairo (Cairo International Stadium). Azam FC chini ya kocha mkuu Florent Ibenge inaingia uwanjani ikiwa na kikosi kamili cha wachezaji 24 waliosafiri kwenda kusaka matokeo mazuri ili kujiweka sawa kabla ya mchezo wa marudiano utakaopigwa Chamazi.
 
The club was known as FC Masr since its establishment in 2009 until 24 November 2020, when ZED Egypt acquired the club and renamed it.

ZED FC is a football club based in al-Qāhirah (Cairo), Egypt, playing their home matches at Cairo International Stadium.

ZED FC chairma Nassef Sawiris has an estimated net worth of approximately $9.2 billion to $9.6 billion making him the richest Egyptian.
 
Klabu hiyo ilijulikana kama FC Masr tangu kuanzishwa kwake mwaka wa 2009 hadi Novemba 24, 2020, wakati bilionea wa dolari za kimarekani wa ZED Egypt alipoinunua klabu hiyo na kuipa jina jipya.

ZED FC ni klabu ya mpira wa miguu yenye makao yake makuu al-Qāhirah (Cairo), Misri , ikicheza mechi zake za nyumbani katika Uwanja wa Kimataifa wa Cairo.

Mwenyekiti wa ZED FC, Nassef Sawiris, ana utajiri unaokadiriwa kuwa takriban dola bilioni 9.2 hadi dola bilioni 9.6, na kumfanya kuwa tajiri zaidi nchini Misri.
 
Matajiri wa Azam na ZED FC wakioneshana nguvu uwanjani leo jijijinCaoro Misri
 
Pia unaweza kutazama Azam max kweny kivinjari chako
 
Back
Top Bottom