Klabu hiyo ilijulikana kama FC Masr tangu kuanzishwa kwake mwaka wa 2009 hadi Novemba 24, 2020, wakati bilionea wa dolari za kimarekani wa ZED Egypt alipoinunua klabu hiyo na kuipa jina jipya.
ZED FC ni klabu ya mpira wa miguu yenye makao yake makuu al-Qāhirah (Cairo), Misri , ikicheza mechi zake za nyumbani katika Uwanja wa Kimataifa wa Cairo.
Mwenyekiti wa ZED FC, Nassef Sawiris, ana utajiri unaokadiriwa kuwa takriban dola bilioni 9.2 hadi dola bilioni 9.6, na kumfanya kuwa tajiri zaidi nchini Misri.