Fuata haya kufikia lengo lako

Fuata haya kufikia lengo lako

JembePoli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,324
Reaction score
996
Wasalamu wana jamvi.
Naomba niingie kwenye kile ninachokijua..
Wazo ni muongozo unaokufikisha kwenye lengo na lengo ni nia ya kulikamilisha wazo lako.
Una wazo la biashara sawa nini ufanye kabla wazo lako halijawa lengo?
1~Eneo au mahala utaamua wazo lako la biashara liwepo, hapa ndio pa muhimu zaidi (eneo linakuchagulia biashara ya kufanya)
2~utafiti wa kina ukipata eneo lazima utajua wazo lako nini cha kufanya hapo fanya utafiti wa kina kwa bidhaa unayotaka kuiweka sokoni (wateja wako ni aina ya biashara unayotaka kuweka hapo)
3~Anza kufikilia mtaji.
naomba tu ujue kuwa na wazo lisilofikia lengo ni sawa na kuwa na gari isiyo na Engine.
Wazo=ndoto
Na ndoto sio ile unayoota ukiwa umelala Bali ile inayokunyima usingizi.
Usiogope kuanzisha biashara.
 
Back
Top Bottom