OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
WHAT? Serious? Chamanzi au Nangwanda?Ndanda 2-Azam 1
werawera!!!!Simba nguvu moja
Mimi ningekuwa mmiliki wa azam ningetimua wachezaji wote , mnapewa hela kibao lakini mnakuja kufungwa na wauza korosho ! Aibu sana .Ndanda 2-Azam 1
Amepelekwa hospitali gani kupasuliwa koo ? au imepita ?Huyu chacha maginga anaonekana anampenda mnyama mfalme wa pori. Maana utangazaji wake kuna kipindi mpaka alimeza mic.... Simba wanasukuma mpira hakya nani vile...nyie achen jaman.
Kweli hii maji maji tena majimaji ya ukeni msimu huu, kila mtu anateleza tu kiulaiiini.Wana Lizombe kala nne, safi sana!