Fuatilia (Live) Simba SC vs Majimaji Fc, uwanja wa Taifa jijini Dar.

Fuatilia (Live) Simba SC vs Majimaji Fc, uwanja wa Taifa jijini Dar.

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
12,181
Reaction score
20,148
Hii ni Livestream link kutoka JamiiForums Facebook page!


 
Ilitakiwa wawe wamepiga 5 mpaka sasa.Simba isipobadili kasi kwa Yanga ile haitatoboa
 
Simba hawatakiwi kutumia nguvu sana ktk mechi hii ya leo!
 
Kwa simba hii, Oct 1 muje na kapu... Sipati picha Tambwe anataka kutupiaje!?
 
Viongozi wa simba mkanyeni uyo mavugo aache uchoyo ametunyima mabao mengi sana
 
Huyu chacha maginga anaonekana anampenda mnyama mfalme wa pori. Maana utangazaji wake kuna kipindi mpaka alimeza mic.... Simba wanasukuma mpira hakya nani vile...nyie achen jaman.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom