The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
SEHEMU YA KWANZA👇🏻👇🏻
View: https://youtu.be/OO2AYA3VY-Y?si=rYCwWDRt0KJognM3
SEHEMU YA PILI👇🏻👇🏻
View: https://youtu.be/e0MXkGVJrn8?si=56j8vHveXRune5eo
Kwa ufupi:
➡➡Amejibu na kutoa ufafanuzi wa tuhuma mbalimbali zilizotolewa na mgombea uenyekiti mwenzake Ndugu Freeman Mbowe....
Miongoni mwa tuhuma hizo alizozitolea maelezo ya ufafanuzi:
1. Freeman Mbowe kumkatia tiketi za ndege mara kwa mara ili afanye harakati zake....
2. Freeman Mbowe kumpa gari ili afanyie harakati zake...
3. Freeman Mbowe kumwita mwenzake huyu "mtu asiye na shukrani" kwani bila yeye (Mbowe) basi Tundu Lissu asingekuwepo...
4. Kwanini kamsema mgombea mwenzake hadharani kuwa ni "MWONGO". Kasema, ni kwa sababu ya yale yanayotoka mdomoni mwake ambayo hayawezi kuachwa bila kupatiwa ufafanuzi....
5 Mambo mengine mengi yamefafanuliwa na TL hapa. Tazama na sikiliza hadi mwisho wa video clips hizi mbili...
➡➡Mwisho kabisa, amesema amejitokeza waziwazi mwenyewe kutaka kuwa kiongozi wa CHADEMA sasa ili watu wamchunguze, watafute madoa aliyonayo ktk kupima uadilifu wake na kisha waamue...