Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM.

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM

IFTARI MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE ILIYOANDALIWA NA MA-SHEKH WA MKOA WA DODOMA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA UONGOZI MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

YouTube


Twitter

Facebook.
https://www.facebook.com/
Pamoja na Televisheni za Clouds Tv pamoja na Channel 10
 
Chawa wameanza kukanyagana,
Mayatima wanahitaji kupelekwa Shule nzuri na malezi bora.
Hivyo vifutari vyenu ni vya kuuzia sura
 
Chakula cha siku moja hakina maana,hapa tunawatumia yatima kwa faida za kisiasa.
 
Wadau watahesabu views za youtube. Waambieni watu watizame ili kuchangamsha takwimu.
 
Nakumbuka pia Mzee Reginald Mengi alikuwa na hafla ya chakula na walemavu kila mwaka..

Kwa hili, Hongera CCM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…