#COVID19 Fuatilia taarifa za COVID-19 kutoka katika vyanzo vinavyoaminika

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki miongoni mwa jamii.

Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa propaganda katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Wataalamu wa Afya wanashauri wanajamii kuzingatia taarifa za ugonjwa na chanjo kutoka katika vyanzo vinavyoaminika

Aidha, unasisitiza kuwa unapopata taarifa zozote mpya kuhusu ugonjwa usizisambaze mpaka uhakikishe zimetoka katika vyanzo sahihi
 
Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi miongoni mwa jamii.

Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa propaganda katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Wataalamu wa Afya wanashauri wanajamii kuzingatia taarifa za ugonjwa na chanjo kutoka katika vyanzo vinavyoaminika

Aidha, unasisitiza kuwa unapopata taarifa zozote mpya kuhusu ugonjwa usizisambaze mpaka uhakikishe zimetoka katika vyanzo sahihi

Habari hizi n mbaya mno kwa mijama kama hii hapa:

Mathanzua Niza doyi Lorenzo Samike na binamu zao
 
Aidha, unasisitiza kuwa unapopata taarifa zozote mpya kuhusu ugonjwa usizisambaze mpaka uhakikishe zimetoka katika vyanzo sahihi
Tunaomba orodha ya vyanzo sahihi vya taarifa za covid19, zaidi ya wizara yetu ya Afya.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom