Fuatilia utafiti uliofanywa na mwanasheria kuhusu cryptocurrency na blockchain technology.

Joined
Aug 22, 2018
Posts
16
Reaction score
26
Fuatilia tafiti iliyofanywa na Mwanasheria Pascal Mshanga kuhusu Sintofahamu ya Kisheria (Legal parable) iliyopo kwenye fedha za mitandaoni na teknolojia inayoziwezesha (crypto currency and block chain technology); Uhitaji wa mfumo wa udhibiti. Tazama mahojiano aliyofanya na The RISACHI ili kuielewa vizuri teknolojia hiyo, sheria za Tanzania kuhusu hiyo teknolojia, faida zake, tahadhali za kuchukua unapojihususha nayo na upi unapaswa kuwa mustakabali sahihi kwa kubonyeza linki ifuatayo https://goo.gl/UUp2pb
 
hivi cyrptocurrency ina misingi yeyote katika mfumo wa sheria?
 
Acha maneno wewe!!, kwanini usiandike habari kamili kwa kuichambua kwa kile ulichokiona badala yake unakuja na link ambapo sheria ya Jf inakataza
 
haaaaa! sijui hata nimekaa siti gani! Sheria za kifedha hazina msamiati wowote kama CRYPTOCURRENCY.
Hii mada imenigusa kwa sababu ninaandika kitabu kinachogusia haya mambo!
kama unaandika kitabu ni vyema ukaangalia pia kilichosemwa na mwanasheria kuhusu hilo suala
 
Acha maneno wewe!!, kwanini usiandike habari kamili kwa kuichambua kwa kile ulichokiona badala yake unakuja na link ambapo sheria ya Jf inakataza
Mkuu nisingeweza kuandika kila alichosema ni mahojiano ya zaidi ya dakika 15.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…