Fuel consumption, durability, availability of spares and the like

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
72
Wakuu naomba kujuzwa ipi kati ya gari zifuatazo nikiinunua sitojuta kwa kuzingatia fuel consumption, durability, availability of spares and the like:
TOYOTA PASSO 990cc
TOYOTA PORTE 1300cc
MITSUBISHI MINI PAJERO 650cc
 
fuel consumption : chukua mini pajero, inatumiaafuta kidogo sana kuliko ulizozitaja hapo.

Durability; chukua mini pajero, passo na porte baada ya mwaka zishachoka labda uwe unaendea sokoni.

Spares; chukua passo na porte, spares za Toyota ni cheap na rahisi kupatikana kuliko za mitsubishi
 
Tumeshajua unataka kununua gari.hongera
 
Hujielewi
Ni kweli mkuu sijielewi ndio maana wameniweka huku mirembe kwa uangalizi maalumu wakati madaktari wakisubiria majibu ya mkojo wangu kutoka kwa mkemia mkuu.hongera lakini mkuu nadhani ungeenda kwa mafundi magari ndio wangekusaidia ila huku unataka kutujuza tu kua unataka kununua ndinga..
 
Bado unazidi kujianika, kwa hiyo humu JF unatafuta nini mkuu?
 
Si unaona hata thread yako imekudodea mkuu hawajajitokeza
 
We ni mtambo si mchezo, aliyeanzisha thread ni mwingine, akaja mtu akampa ushauri wewe ukakurupuka ukamtolea mipovu aliyeshauri na kama haitoshi ukahamia kwangu. Hahahahha
bado hajajua kutumia Jf muonee huruma tuu! hajajua kutofautisha mtu anayepost na anaye-comment
 
Wakuu naomba kujuzwa ipi kati ya gari zifuatazo nikiinunua sitojuta kwa kuzingatia fuel consumption, durability, availability of spares and the like:
TOYOTA PASSO 990cc
TOYOTA PORTE 1300cc
MITSUBISHI MINI PAJERO 650cc
Thread imebuma
 
Mini Pajero ina 3 doors only. Mtu akitaka kukaa seat ya nyuma inambidi mtu aliekaa seat ya mbele ashuke alaze kiti ili mwingine apite akakae nyuma. Na kushuka hivo hivo. Mvua ikiwa inanyesha nuksi au mkiwa mnataka kumshusha mahala ambapo sio salama (kwenye foreni, sehemu isio na parking etc), so hiyo kwangu ni No Buy Factor.

Kama engine ya 1.3L kwanini usimfuate IST mkombozi wa wanyonge. Ana kidhi vigezo vyote unavyotaka na vya ziada ingawa hukumtaja.

Ila kama wewe umejifungia kwa hayo uliyotaja tu basi ningeshauri Porte na shemeji wake Sienta, kisha Passo (ila dah inahitaji ujasiri hapa) na mwisho Pajero.
 
Ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom