Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshajua unataka kununua gari.hongerafuel consumption : chukua mini pajero, inatumiaafuta kidogo sana kuliko ulizozitaja hapo.
Durability; chukua mini pajero, passo na porte baada ya mwaka zishachoka labda uwe unaendea sokoni.
Spares; chukua passo na porte, spares za Toyota ni cheap na rahisi kupatikana kuliko za mitsubishi
Tumeshajua unataka kununua gari.hongera
Ni kweli mkuu sijielewi ndio maana wameniweka huku mirembe kwa uangalizi maalumu wakati madaktari wakisubiria majibu ya mkojo wangu kutoka kwa mkemia mkuu.hongera lakini mkuu nadhani ungeenda kwa mafundi magari ndio wangekusaidia ila huku unataka kutujuza tu kua unataka kununua ndinga..Hujielewi
Ni kweli mkuu sijielewi ndio maana wameniweka huku mirembe kwa uangalizi maalumu wakati madaktari wakisubiria majibu ya mkojo wangu kutoka kwa mkemia mkuu.hongera lakini mkuu nadhani ungeenda kwa mafundi magari ndio wangekusaidia ila huku unataka kutujuza tu kua unataka kununua ndinga..
Nazurura kama panya road mkuu...Bado unazidi kujianika, kwa hiyo humu JF unatafuta nini mkuu?
Si unaona hata thread yako imekudodea mkuu hawajajitokeza
bado hajajua kutumia Jf muonee huruma tuu! hajajua kutofautisha mtu anayepost na anaye-commentWe ni mtambo si mchezo, aliyeanzisha thread ni mwingine, akaja mtu akampa ushauri wewe ukakurupuka ukamtolea mipovu aliyeshauri na kama haitoshi ukahamia kwangu. Hahahahha
Thread imebumaWakuu naomba kujuzwa ipi kati ya gari zifuatazo nikiinunua sitojuta kwa kuzingatia fuel consumption, durability, availability of spares and the like:
TOYOTA PASSO 990cc
TOYOTA PORTE 1300cc
MITSUBISHI MINI PAJERO 650cc
Ushauri mzuriMini Pajero ina 3 doors only. Mtu akitaka kukaa seat ya nyuma inambidi mtu aliekaa seat ya mbele ashuke alaze kiti ili mwingine apite akakae nyuma. Na kushuka hivo hivo. Mvua ikiwa inanyesha nuksi au mkiwa mnataka kumshusha mahala ambapo sio salama (kwenye foreni, sehemu isio na parking etc), so hiyo kwangu ni No Buy Factor.
Kama engine ya 1.3L kwanini usimfuate IST mkombozi wa wanyonge. Ana kidhi vigezo vyote unavyotaka na vya ziada ingawa hukumtaja.
Ila kama wewe umejifungia kwa hayo uliyotaja tu basi ningeshauri Porte na shemeji wake Sienta, kisha Passo (ila dah inahitaji ujasiri hapa) na mwisho Pajero.
Duh, hizi gari ni za jinsia ya kike?!!!!Passo, Porte na mini pajero hizi ni gari za kina dada... Mtoto wa kiume tafuta IST, VW-Polo Tutakuelewa
Ha ha haaaaaaaaa!Passo, Porte na mini pajero hizi ni gari za kina dada... Mtoto wa kiume tafuta IST, VW-Polo Tutakuelewa