Fuel consumptions katika Neutral (N) na Drive (D)

Kwanza nani amewaambia muweke gari auto neutral wakati unaendesha?

Acheni ushamba mtaharibu tugari twenu huto
 
Wengi wanadai mafuta huwa hayatumiki pindi unapoweka neutral hata mimi nakubaliana na hilo
Mnazungumzia kupunguza ulaji au kutokula kabisa?!! Maana najua gari ikiunguruma tu ni mafuta sasa kama N haili mafuta inakula nn wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…