Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Sawa kaka. PamojaHazchem, sina ubishi na hilo.
Issue ilikuwa ni ulaji wa mafuta kwenye hizo category mbili wakati gari ipo on.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kaka. PamojaHazchem, sina ubishi na hilo.
Issue ilikuwa ni ulaji wa mafuta kwenye hizo category mbili wakati gari ipo on.
Ujanja ni Kufanyaje Boy???Kwanza nani amewaambia muweke gari auto neutral wakati unaendesha?
Acheni ushamba mtaharibu tugari twenu huto
Mnazungumzia kupunguza ulaji au kutokula kabisa?!! Maana najua gari ikiunguruma tu ni mafuta sasa kama N haili mafuta inakula nn wakuu?Wengi wanadai mafuta huwa hayatumiki pindi unapoweka neutral hata mimi nakubaliana na hilo