Fuel Crisis Yaingia Ground: “Hakuna Mafuta!” Wananchi Walia na Fare Kupanda, Maisha Kusimama

Fuel Crisis Yaingia Ground: “Hakuna Mafuta!” Wananchi Walia na Fare Kupanda, Maisha Kusimama

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Kenya iko kwa panic mode kidogo after acute fuel shortage kuhit maeneo mingi across the country, na wananchi ndio wanaumia most. Serikali imekuwa ikisema “stocks ziko sufficient,” lakini ground reality ni tofauti kabisa vituo mingi zina “NO FUEL” signs na wengine wana ration.

Kwa Mt Kenya region Murang’a, Meru, Nyeri, Kirinyaga na Embu situation ni mbaya. Murang’a, fuel supply iko erratic sana, stations chache kama Rubis na Shell ndio zinaonekana kuwa na mafuta kidogo. Motorists wanaamka mapema kupanga foleni hoping kupata hata litres chache.

Chuka, Embu, Meru, Nanyuki hadi Isiolo Wednesday ilikua chaos. Long queues, watu wakigombania last drops. By morning, attendants wengi walikua wanafukuza motorists wakisema “stock imeisha.”

Matatu sector imeanza kufeel the heat. PSVs zimeanza kuwithdraw from routes, na fare zimepanda ghafla. Mwananchi wa kawaida sasa analipa more just kufika job au biashara.

Kirinyaga na Embu, panic buying imeanza kushika kasi. Watu wanajaza mafuta kupita kawaida wakihofia hali itazidi kuwa mbaya. Nyandarua na Laikipia ziko among the worst hit baadhi ya stations zimefungwa kabisa.

Trans Nzoia (Kitale, Kiminini, Kachibora, Endebess) situation ni ile ile: baadhi ya stations closed, zingine overwhelmed. Kisumu pia motorist wanahangaika kupata mafuta. Nyamira foleni ni ndefu sana.

Eldoret na Uasin Gishu, supply ni unreliable, na hii inahit farmers hard. North Rift, diesel powered machines za ploughing, planting na spraying zimeaffected vibaya meaning food production inaweza kuwa next crisis.

Watu wengi sasa wanauliza: kama serikali inasema hakuna shortage, hii yenye tunaona kwa ground ni nini? Ni hoarding? Supply chain issue? Ama global tensions Middle East (Israel, US, Iran) ndio zimeleta hii pressure?

Kwa sasa, mwananchi wa kawaida ndio analipa price kwa mfuko, kwa time, na kwa stress. Swali ni: hii crisis itaisha lini

Source: Nation Media
 
Kenya wanasiasa wana nguvu ila huku bongo matajiri wana nguvu..Ambaye hayanielewa nitampa maelezo dm.
 
Back
Top Bottom