Fuel efficiency ya Toyota Allex four wheel drive

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
368
Reaction score
425
Habari wakuu.... mwenye kufahamu ulaji wa mafuta kwenye Toyota Allex yenye four wheel drive anijuze.... na je four wheel drive inakuwa muda wote au ni option unachagua wewe mwenyewe.?
 
Mm pia nna allex 4wd natamani kujua kuhusu hii
 
Back
Top Bottom