Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
Habari wakuu.... mwenye kufahamu ulaji wa mafuta kwenye Toyota Allex yenye four wheel drive anijuze.... na je four wheel drive inakuwa muda wote au ni option unachagua wewe mwenyewe.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm pia nna allex 4wd natamani kujua kuhusu hiiHabari wakuu.... mwenye kufahamu ulaji wa mafuta kwenye Toyota Allex yenye four wheel drive anijuze.... na je four wheel drive inakuwa muda wote au ni option unachagua wewe mwenyewe.?