Fuel gauge kuganda juu Toyota Corolla

Fuel gauge kuganda juu Toyota Corolla

LIFE HELP

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
149
Reaction score
71
Naomba msaada gari almost mpya 6000 km tu toka japan nimeipokea , ikiwa na mafuta kgd sn taa ya empty inawaka lakini gauge iko full tank,

Nikashauriwa labda sababu ya kukaa muda mrefu itakuwa ime stuck tu , weka mafuta full tank then kadiri unavyotumia boya la gauge linaweza kuachia kwa kugongwa na mafuta,

nikafanya hivyo full tank 43 ltr na taa ikazima, lakini hadi leo ni wiki sasa na nina 240 km
naamini mafuta sasa yanacheza vya kutosha bado gauge iko pale pale inasogea kidogo sana kama 3 mm kwenda juu

Wapi kuna mafundi wazuri DAR wenye workshop ya kisasa angalau yawezekana sio boya labda ni WIRING SYSTEM ,

Naombeni ushauri
 
tafuta fundi waya akuangalizie hilo ni tatizo la waya
 
Uliagiza kwa sh ngapi mpaka ukalitoa pale Bandarini?
 
Uliagiza kwa sh ngapi mpaka ukalitoa pale Bandarini?
kwa kweli gari ni mpya kabisa 6800 km nilivyoiona mtandaoni pics zake na hizo km sikuamini nilidhani wamecheza na odometer na kurudia gari jumla kila kiti 11 mln
 
kwa kweli gari ni mpya kabisa 6800 km nilivyoiona mtandaoni pics zake na hizo km sikuamini nilidhani wamecheza na odometer na kurudia gari jumla kila kiti 11 mln

huwezi kujua labda wameirudisha
 
kwa kweli gari ni mpya kabisa 6800 km nilivyoiona mtandaoni pics zake na hizo km sikuamini nilidhani wamecheza na odometer na kurudia gari jumla kila kiti 11 mln
Ok hongera kwa kupata mkoko, unakula mafuta vizuri sana hiyo, hilo gauge ya mafuta isikuumize sana kichwa, itakaa tu sawa, sikushauri uipeleke sasahivi kwa fundi, iache kwanza itumie itakaa sawa tu,hapo ukitaka gari isikuzimikie ipe max lita 1 ipe km 10 then kama umeweka lita 43 basi weka tena mafuta dashboard itakapofika km 400...hakika hapo gari haitazima, then ukifika km 1500 lazima gauge yako ikae sawa tu....!!!

Nasisitiza usiipeleke sasahivi kwa fundi, coz I know!!
 
Shukran sana
 
huwezi kujua labda wameirudisha
hapana hata kidogo kuna baadhi ya sehemu karatasi za nylon bado zipo intact, yeyote akiiona anaamin, huwezi pata hata nut moja ina hata dalili za kutu, exhaust mwanzo mwisho ni mpya kabisa no sizi wala dot ya kutu, tyre mpya kabisa.
 
hapana hata kidogo kuna baadhi ya sehemu karatasi za nylon bado zipo intact, yeyote akiiona anaamin, huwezi pata hata nut moja ina hata dalili za kutu, exhaust mwanzo mwisho ni mpya kabisa no sizi wala dot ya kutu, tyare mpya kabisa.

Fundi umeme tu anamaliza tatizo nilikua na Nissan ilikua na tatizo kama hilo... Bora upeleke kwa fundi kukadiria mafuta ipo siku yatakukatikia mikumi au serengeti
 
hapo ni connection za waya kutoka kwenye boya kuna nyaya mbili ambzo moja uwa ya negative na nyingine ya signal kutoka kwenye boya kwenda kwenye fuel gauge iwapo kma moja wapo ina hitilafu swala hilo uwa linatokea na kma connection zote zko ok bc boya ndo litakua tatizo
 
Back
Top Bottom