Fuel Injectors (nozeli) zinasafishwa vipi?

Fuel Injectors (nozeli) zinasafishwa vipi?

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Ni namna gani fuel injectors zinasafishwa?

Tupeni uzoefu wakuu.

s-l400.jpg
 
Tumia Tinner Pekee then loweka KWA nusu saa alafu chukua betr unganisha waya kwenye nozzle ikiwa kwenye Tina Ili uone urushaji wake
 
Ni namna gani fuel injectors zinasafishwa?

Tupeni uzoefu wakuu.

View attachment 2011256
Unaulizia kusafisha ikiwa imefungwa kwenye injini au ikiwa imetolewa?

Ikiwa imefungwa kuna additives kutoka kwa kampuni mbalimbali kama Liqui Moly, Wynns, STP n.k., ambazo zinawekwa kwenye tanki la mafuta kufanya hiyo kazi ya kusafisha injector nozzles.

Ikiwa imetolewa hapo nafikiri ukiwaona Bosch pale karibu na former national milling ya TAZARA, wataweza kukusafishia kwa uzuri. Pia kuna Vigor Diesel walio Mbagala Zakheim jirani na NMB.
 
Back
Top Bottom