Kenyans wamepigwa na shock tena after Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) kuongeza fuel prices for April–May cycle.
Petrol imepanda by Ksh28.69 na Diesel by a massive Ksh40.30 per litre. Hii inamaanisha sasa unajaza tank ukilia ndani ndani .
Mombasa ndio imefeel hii heat vibaya Petrol iko around Ksh203.69 while Diesel iko Ksh203.56. Na bado tunaambiwa VAT imepunguzwa from 16% to 13% “to cushion wananchi.” Swali ni: hii cushioning iko wapi?
EPRA wanasema global prices zimepanda, na landed cost imeongezeka hadi over 40% for petrol na zaidi ya 60% kwa diesel. Serikali pia imesema itatumia Ksh6.2B kupitia Petroleum Development Levy kupunguza pressure but clearly, hiyo effort haija-reflect kwa mfuko ya mwananchi.
Kitu inachoma zaidi ni kwamba earlier tuliahidiwa fuel iko enough na prices zinaweza stabilize… but saa hii reality ni tofauti kabisa.
Now transport costs zitapanda, food prices zitafollow, na mwisho wa siku ni kawaida mwananchi anabeba hii burden yote.
Je, hii ni global crisis hatuwezi control? Ama kuna mchezo nyuma ya pazia?
Na wewe, hii fuel hike imekuaffect aje kwa daily life?
SOURCE:kenyan.co.ke