Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Uchochezi kwa kuhifadhi hela yako mahali salama?Huu sio uchochezi kweli?
Wafanyabiashara huwa hawasubiri madudu yatokee.Huu sio uchochezi kweli?
Kuweka pesa benki unawakaribisha TRA.Tumeongea humu sana
Tra wanaua uchumi..
Watu watazikwepa banks
Not that simple!Ndio maana mliambiwa msajili simu zenu na vitambulisho ili wakifatilia hizo transaction zenu humo kwenye simu, kwisha mchezo hapo
unatumiwa makadirio ya kulipa kodi 🤣
Au tutanunua safe boxes kisha tunahifadhi USDs
Na benki kwanini waruhusu pesa za mteja A zichukuliwe na mteja B?
Kama hii inafanyika bila kufuata utaratibu wa kisheria (mahakama) kuamuru fedha za mteja fulani zitaifishwe, basi benki husika na aliyechukua wanakuwa na makosa/hatia.
Nenda mahakamani washitaki na utarudishiwa fedha yako yote na riba juu!
TRA wana uwezo kisheria kuchukua pesa katika account