Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Toa mfano kama yupi alisha wahi kufanya hivo na akafanikiwa.Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa.
Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na chakula ila hapa nitaweka kuhusu maeneo.
Maeneo ya kufuga kuku yanataka sehemu kubwa kuanzia heka 1 ambayo ni ya wazi na yenye uhuru kwa kuku wako kujiachia eneo ilo.
Ukiwafanya kuku kuishi mazingira ya wazi unawezesha kuku kujengeka vizuri na kuepuka magonjwa yasiyo na lazima.
Mazingira ya ufugaji yanatakaiwa kuwa nje ya miji au makazi ambayo yana pishana sehemu kubwa sana mfano vijijini.
Asanteni
mimi mwenyewe na fugaToa mfano kama yupi alisha wahi kufanya hivo na akafanikiwa.
Sawa umefuga kuku wangapi? na ukubwa wa eneo lako liseme pamoja na faida unao pata ili utushawishi tukulize maswali vizuri.mimi mwenyewe na fuga
NDIYO NINI HII? KWELI WEWE KAKA YAKE NA SHETANIWengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa.
Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na chakula ila hapa nitaweka kuhusu maeneo.
Maeneo ya kufuga kuku yanataka sehemu kubwa kuanzia heka 1 ambayo ni ya wazi na yenye uhuru kwa kuku wako kujiachia eneo ilo.
Ukiwafanya kuku kuishi mazingira ya wazi unawezesha kuku kujengeka vizuri na kuepuka magonjwa yasiyo na lazima.
Mazingira ya ufugaji yanatakaiwa kuwa nje ya miji au makazi ambayo yana pishana sehemu kubwa sana mfano vijijini.
Asanteni
Ungeweka na picha jamanimimi mwenyewe na fuga
jina langu ndio shida ila utanishukuru.nawauzia watu kuku wa kizungu wakijua ni wakienyejiUngeweka na picha jamani
jamani haya maisha yalivyo magumu hv bado unataka umpige tukio maskini?Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa.