Fujo ina maana gani katika sheria ya Tanzania

Fujo ina maana gani katika sheria ya Tanzania

simbamweupe

Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
17
Reaction score
2
Habari za siku nyingi,
nilikuwa naomba msaada wa watalaamu kuhusu maana yake "FUJO", katika sheria ya Tanzania.
Je mtu moja, anaweza kuletea fujo, bila kumshambulia kimwili, bila kumshika wala kumgusa, bila kumtishia wala kumtukana mtu mwingine yeyote, na pia bila kurushia chochote hewani au chini?
Ahsante sana kwa msaada nitakaopewa.
Simbamweupe
 
Ninasubiri kwa hamu kusikia tafsiri ya neno "fujo"...
 
me sio mwanasheria bt fujo in our country naitafsiri kama ujinga (ignorance)
 
Back
Top Bottom