joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya bila ukabila ni sawa na gari bila magurudumu, kinachoifanya nchi ya Kenya kuitwa Kenya ni ukabila.wakenya ni wapumbavu,mambo ya ukabila yamepitwa na wakati
Hao wameshazoeana, tangia mababu zqo wanapigana tuMY TAKE: Wakati Nyerere alipokua anajenga umoja wa kitaifa na kupambana na ukabila, Jommo Kenyatta alikua busy kunyakua ardhi na kujenga majumba marefu na viwanda vya Kiwi na Colgate.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sasa kama wenyewe kwa wenyewe wanapigana, Tanzania tukeanda huko tutapigana na nani?, labda twende tukawaamulie.Mmmmh usiku nimeota Kuna Vita ya Tz vs Kenya ,tunapigana hatari na Mimi nilikuwa nashiriki Vita
Sasa sijui manake Nini?
Hao si ndio wenye Kenya?, Kenya ni Kikuyu na Kalenjin tu, wanafanya waoendavyo hapo Kenya, wanabadilishana nafasi ya urais vile wapendavyo.Hao wameshazoeana, tangia mababu zqo wanapigana tu
Weka ushahidi wa huo mgawanyoWakati Mh Tundu Lisu yupo akihangaika kuwaunganisha watanzania, magufuli yeye yupo bize akiwagawanya kikabila na kikanda watanzania.
Nyani huoni kundulo unakimbilia ya Kenya wakati ndani kwako kunaungua mbuzi wewe
Kabadili kichwa cha uzi basi manake naona umeambulia patupu..Hao si ndio wenye Kenya?, Kenya ni Kikuyu na Kalenjin tu, wanafanya waoendavyo hapo Kenya, wanabadilishana nafasi ya urais vile wapendavyo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mmmmh usiku nimeota Kuna Vita ya Tz vs Kenya ,tunapigana hatari na Mimi nilikuwa nashiriki Vita
Sasa sijui manake Nini?
Mmasy imenivunja mbavuPepo tokaa!
Leo sijamsikilizaKwani Tundu Lissu anasemaje?
Kenya haitokaa itokee mchague viongozi bora, ninyi ukabila ndio sifa ya uongoziKabadili kichwa cha uzi basi manake naona umeambulia patupu..
Kisha ujue zilipendwa, sai ni mwendo kuchagua leaders wazuri mashinani na mambo yanaenda poa