Fujo na mapigano ya Kikuyu na Kalenjin vyatokota, Wakikuyu watoa siku 7 kwa wakalenjin kujisalimisha

Fujo na mapigano ya Kikuyu na Kalenjin vyatokota, Wakikuyu watoa siku 7 kwa wakalenjin kujisalimisha

Mmmmh usiku nimeota Kuna Vita ya Tz vs Kenya ,tunapigana hatari na Mimi nilikuwa nashiriki Vita
Sasa sijui manake Nini?
 
Mmmmh usiku nimeota Kuna Vita ya Tz vs Kenya ,tunapigana hatari na Mimi nilikuwa nashiriki Vita
Sasa sijui manake Nini?
Sasa kama wenyewe kwa wenyewe wanapigana, Tanzania tukeanda huko tutapigana na nani?, labda twende tukawaamulie.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sio wajinga ni wapumbavu kabisa. Na hapo serikali itakunja mkia katikati ya mapaja moaka wauwane. Leo mnaalikana vita ya ukabila?
 
Wakati Mh Tundu Lisu yupo akihangaika kuwaunganisha watanzania, magufuli yeye yupo bize akiwagawanya kikabila na kikanda watanzania.
Nyani huoni kundulo unakimbilia ya Kenya wakati ndani kwako kunaungua mbuzi wewe
Weka ushahidi wa huo mgawanyo
 
Hao si ndio wenye Kenya?, Kenya ni Kikuyu na Kalenjin tu, wanafanya waoendavyo hapo Kenya, wanabadilishana nafasi ya urais vile wapendavyo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kabadili kichwa cha uzi basi manake naona umeambulia patupu..

Kisha ujue zilipendwa, sai ni mwendo kuchagua leaders wazuri mashinani na mambo yanaenda poa
 
MK254 nadhani unaelewa sana kuwa ni muhimu kuzungumzia mambo ya ndani taifa lako kuliko watu wengine,msisahau kulipa wauguzi fedha zao maana wakigoma na corona yenu,sijui mtakimbilia wapi.
 
Kabadili kichwa cha uzi basi manake naona umeambulia patupu..

Kisha ujue zilipendwa, sai ni mwendo kuchagua leaders wazuri mashinani na mambo yanaenda poa
Kenya haitokaa itokee mchague viongozi bora, ninyi ukabila ndio sifa ya uongozi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom