joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Leo sijamsikiliza
Mmasy imenivunja mbavu
Bwahahaaa!!uemeumia, ugatuzi hautambui huo upupu wako..Kenya haitokaa itokee mchague viongozi bora, ninyi ukabila ndio sifa ya uongozi
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Maana yake kuna vita ya kikabila kenyaMmmmh usiku nimeota Kuna Vita ya Tz vs Kenya ,tunapigana hatari na Mimi nilikuwa nashiriki Vita
Sasa sijui manake Nini?
Mmmmh usiku nimeota Kuna Vita ya Tz vs Kenya ,tunapigana hatari na Mimi nilikuwa nashiriki Vita
Sasa sijui manake Nini?
Kwanza vile hao Wasukuma wanvyoona kama Tanzania ni yaoWakati Mh Tundu Lisu yupo akihangaika kuwaunganisha watanzania, magufuli yeye yupo bize akiwagawanya kikabila na kikanda watanzania.
Nyani huoni kundulo unakimbilia ya Kenya wakati ndani kwako kunaungua mbuzi wewe
Unajaribu kujiliwaza sio?, Tanzania hatuna ujinga huo, that primitivity is only for Kenya and other less civilized nations.Kwanza vile hao Wasukuma wanvyoona kama Tanzania ni yao
Nani alikuwa na upepo wa kushinda, tumalizie uhondo basiii😂😂😂😂Mmmmh usiku nimeota Kuna Vita ya Tz vs Kenya ,tunapigana hatari na Mimi nilikuwa nashiriki Vita
Sasa sijui manake Nini?
Wameingia ukabila kila sekta hawa washenziKwanza vile hao Wasukuma wanvyoona kama Tanzania ni yao
Taja mawaziri 3 makatibu wakuu 3 ambao ni wasukumaWameingia ukabila kila sekta hawa washenzi