Fujo na mapigano ya Kikuyu na Kalenjin vyatokota, Wakikuyu watoa siku 7 kwa wakalenjin kujisalimisha

Fujo na mapigano ya Kikuyu na Kalenjin vyatokota, Wakikuyu watoa siku 7 kwa wakalenjin kujisalimisha

Wakati Mh Tundu Lisu yupo akihangaika kuwaunganisha watanzania, magufuli yeye yupo bize akiwagawanya kikabila na kikanda watanzania.
Nyani huoni kundulo unakimbilia ya Kenya wakati ndani kwako kunaungua mbuzi wewe
Kwanza vile hao Wasukuma wanvyoona kama Tanzania ni yao
 
Huu ujinga wa makabila kupigana ni wa zama za zamani miaka ya 80,,nakumbuka niliwahi kuwa comandoo wa jeshi la wanyantuzu dhidi ya masai huko Ntuzuland,siku hizi hayo mambo yamepitwa na wakti.
 
Back
Top Bottom