sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Trh 16/05/2015, Mkurugenzi wa Ufundi wa Stand United, Kanu alidai wametenga 350m kwa ajili ya usajili msimu huu!!
Juzi kaibuka na kudai wapo kwenye mazungumzo ya kumsajili Juma Kaseja kwa dau la 40 milioni, hapo ni pembeni na mshahara!!
Leo kaibuka tena na kudai, wanamsubiri Salim Mbonde arejee toka SA ili wafanye mazungumzo ya kumsajili. Ikumbukwe mpaka sasa kulwa na doto zinahangaika kumsajili.
Namnukuu Kanu..
".. kwa fungu tulionalo la usajili toka kwa wadhamini wetu, tunaweza kumsajili mchezaji yoyote toka Simba, Yanga na hata hao Azam."
Kama anachoongea Kanu, ni kweli inabidi tujipange ipasavyo lasivyo kina Messi, Kavumbagu ambao mikataba yao imeisha tutawapoteza.
ANGALIZO:
Yanga Sc = Wametenga 730m kwa usajili wa timu itakayokaa miaka miwili.
Stand United = 350m kwa usajili wa dirisha hili tu!!
Simba Sc = ???