Fukushima nuclear contaminated water

Fukushima nuclear contaminated water

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Mchora vibonzo Wuheqilin kutoka China jana amechora kibonzo chenye ujumbe wa kuilaani serikali ya Japan baada ya kuamua kuyaruhusu maji machafu yenye mionzi ya nyuklia kuelekea baharini.

Maji hayo yalikuwa yamehifadhiwa miaka 12 iliyopita baada ya kutokea ajali katika kiwanda cha Fukushima nuclear plant.
IMG_20230825_185523.jpeg
 
Back
Top Bottom