Fukuto Kali leo mkoa wa Dar (High Humidity)

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Wadau leo kuna fukuto kali balaa hapa jijini Dar

Yaani kuna lile joto la kusababisha kutokwa na jasho jingi sana kama vile upo shimoni
Kinachosababisha ni high humidity au unyevunyevu mwingi kwenye hewa
Sababu ya kuwa karibu na bahari ya Hindi

Humidity ya leo ni 81% wakati kikawaida inakuwa ni kati ya 50% hadi 60%
Screenshot_20230111-210149.png
 
Hivi unajua maana ya fukuto? Leo hakukuwa na fukuto lolote, hali ya hewa ilikuwa shwari kabisa kiasi kwamba nimetembea kuelekea kibaruani....

Siku kukiwa na fukuto huwa siwezi kutembea, maana ukitembea dakika 5 tuu usha-sweat mpaka mavuzi.
 
relative humidity haina maana,
sawa na kusema tank la 500L lililojaa kwa 81% dhidi ya tank la 10,000L lililojaa kwa 50%
tank lenye maji mengi ni hilo la pili
Kwahiyo yenye maana ni ipi mtalamu wa hali ya hewa?
 
relative humidity haina maana,
sawa na kusema tank la 500L lililojaa kwa 81% dhidi ya tank la 10,000L lililojaa kwa 50%
tank lenye maji mengi ni hilo la pili
Najua, relatives humidity Ina maana gani
 
Hivi unajua maana ya fukuto? Leo hakukuwa na fukuto lolote, hali ya hewa ilikuwa shwari kabisa kiasi kwamba nimetembea kuelekea kibaruani....

Siku kukiwa na fukuto huwa siwezi kutembea, maana ukitembea dakika 5 tuu usha-sweat mpaka mavuzi.
Basi eneo lako ni tofauti
 
Hivi unajua maana ya fukuto? Leo hakukuwa na fukuto lolote, hali ya hewa ilikuwa shwari kabisa kiasi kwamba nimetembea kuelekea kibaruani....

Siku kukiwa na fukuto huwa siwezi kutembea, maana ukitembea dakika 5 tuu usha-sweat mpaka mavuzi.
ile siku mvua imenyesha sana usiku sijui ni majuzi kuamkia juzi
ile siku jua liliwaka mpaka nikaona hata kuna namna kitu hakiko sawa .. hatua hata 5 unatafuta pa kujificha niliwaza sana kuhusu Natural calamities
 
Acha tuu, Dar kuna siku kunakuwa na fukuto mpaka unawaza u left this boiling city🤕
 
Mimi nishaamua huu mji nahama, nahamia Morogoro
Sababu ni ardhi kuwa bei ghali na hali ya hewa, msongamano
 
ile siku mvua imenyesha sana usiku sijui ni majuzi kuamkia juzi
ile siku jua liliwaka mpaka nikaona hata kuna namna kitu hakiko sawa .. hatua hata 5 unatafuta pa kujificha niliwaza sana kuhusu Natural calamities

Acha tuu, Dar kuna siku kunakuwa na fukuto mpaka unawaza u left this boiling city🤕
... jiji gani kila mtu ana "rashes" kuanzia vichanga hadi kwenye vigodoro huko! Hupumziki ndani na mkeo mkafurahia maisha kisa hakukaliki; godoro lenyewe chapachapa hadi feni zinagoma! Wengne hatuna uwezo wa AC!
 
Tafuteni hela
matajiri hawajui joto ni mdudu gani
 
waarabu kwao ipo mpaka 140 humidity nyie mnalia 80 ngozi nyeusi bwana hawezi kustahamili joto
 
... jiji gani kila mtu ana "rashes" kuanzia vichanga hadi kwenye vigodoro huko! Hupumziki ndani na mkeo mkafurahia maisha kisa hakukaliki; godoro lenyewe chapachapa hadi feni zinagoma! Wengne hatuna uwezo wa AC!
Mkuu, umeongea kwa hisia sana😀

Nakushauri uhamie nje ya mji, mfano kibamba au hata kibaha kabisa, hali ya hewa ni swaafi.
 
Back
Top Bottom