Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Acha uongo uarabuni humidity ni ndogo Ila JOTO liko juu, Ila Kuna maeneo kama India, Singapore, Malaysia humidity na JOTO huwa vinakuaga juu ndo maana Kuna mvua nyingiwaarabu kwao ipo mpaka 140 humidity nyie mnalia 80 ngozi nyeusi bwana hawezi kustahamili joto
Uarabuni hakuwezi kuwa na humidity kubwa sababu kule ni jangwa