Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
relative humidity haina maana,Humidity ya leo ni 81%
Nayo itapandisha HUMUDITY kwa CCMsijui itakuwaje na mikutano ya kisiasa ikianza
Kwahiyo yenye maana ni ipi mtalamu wa hali ya hewa?relative humidity haina maana,
sawa na kusema tank la 500L lililojaa kwa 81% dhidi ya tank la 10,000L lililojaa kwa 50%
tank lenye maji mengi ni hilo la pili
kipimo sahihi cha joto la 'feels like' ni dew-point ( absolute humidity ) siyo relative humidityKwahiyo yenye maana ni ipi mtalamu wa hali ya hewa?
Najua, relatives humidity Ina maana ganirelative humidity haina maana,
sawa na kusema tank la 500L lililojaa kwa 81% dhidi ya tank la 10,000L lililojaa kwa 50%
tank lenye maji mengi ni hilo la pili
Basi eneo lako ni tofautiHivi unajua maana ya fukuto? Leo hakukuwa na fukuto lolote, hali ya hewa ilikuwa shwari kabisa kiasi kwamba nimetembea kuelekea kibaruani....
Siku kukiwa na fukuto huwa siwezi kutembea, maana ukitembea dakika 5 tuu usha-sweat mpaka mavuzi.
ile siku mvua imenyesha sana usiku sijui ni majuzi kuamkia juziHivi unajua maana ya fukuto? Leo hakukuwa na fukuto lolote, hali ya hewa ilikuwa shwari kabisa kiasi kwamba nimetembea kuelekea kibaruani....
Siku kukiwa na fukuto huwa siwezi kutembea, maana ukitembea dakika 5 tuu usha-sweat mpaka mavuzi.
Acha tuu, Dar kuna siku kunakuwa na fukuto mpaka unawaza u left this boiling city🤕ile siku mvua imenyesha sana usiku sijui ni majuzi kuamkia juzi
ile siku jua liliwaka mpaka nikaona hata kuna namna kitu hakiko sawa .. hatua hata 5 unatafuta pa kujificha niliwaza sana kuhusu Natural calamities
Mimi nishaamua huu mji nahama, nahamia MorogoroAcha tuu, Dar kuna siku kunakuwa na fukuto mpaka unawaza u left this boiling city🤕
ile siku mvua imenyesha sana usiku sijui ni majuzi kuamkia juzi
ile siku jua liliwaka mpaka nikaona hata kuna namna kitu hakiko sawa .. hatua hata 5 unatafuta pa kujificha niliwaza sana kuhusu Natural calamities
... jiji gani kila mtu ana "rashes" kuanzia vichanga hadi kwenye vigodoro huko! Hupumziki ndani na mkeo mkafurahia maisha kisa hakukaliki; godoro lenyewe chapachapa hadi feni zinagoma! Wengne hatuna uwezo wa AC!Acha tuu, Dar kuna siku kunakuwa na fukuto mpaka unawaza u left this boiling city🤕
Mkuu, umeongea kwa hisia sana😀... jiji gani kila mtu ana "rashes" kuanzia vichanga hadi kwenye vigodoro huko! Hupumziki ndani na mkeo mkafurahia maisha kisa hakukaliki; godoro lenyewe chapachapa hadi feni zinagoma! Wengne hatuna uwezo wa AC!
Madhara ya elimu burerelative humidity haina maana,
sawa na kusema tank la 500L lililojaa kwa 81% dhidi ya tank la 10,000L lililojaa kwa 50%
tank lenye maji mengi ni hilo la pili