Artifact Collector JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 6,617 Reaction score 10,205 Jan 12, 2023 #21 drilling said: waarabu kwao ipo mpaka 140 humidity nyie mnalia 80 ngozi nyeusi bwana hawezi kustahamili joto Click to expand... Acha uongo uarabuni humidity ni ndogo Ila JOTO liko juu, Ila Kuna maeneo kama India, Singapore, Malaysia humidity na JOTO huwa vinakuaga juu ndo maana Kuna mvua nyingi Uarabuni hakuwezi kuwa na humidity kubwa sababu kule ni jangwa
drilling said: waarabu kwao ipo mpaka 140 humidity nyie mnalia 80 ngozi nyeusi bwana hawezi kustahamili joto Click to expand... Acha uongo uarabuni humidity ni ndogo Ila JOTO liko juu, Ila Kuna maeneo kama India, Singapore, Malaysia humidity na JOTO huwa vinakuaga juu ndo maana Kuna mvua nyingi Uarabuni hakuwezi kuwa na humidity kubwa sababu kule ni jangwa