Fukuto kubwa laibuka Yanga; wachezaji wanyoosheana vidole, Canavaro amwambia Chirwa kaa kimya wataka kuzipiga

Fukuto kubwa laibuka Yanga; wachezaji wanyoosheana vidole, Canavaro amwambia Chirwa kaa kimya wataka kuzipiga

Namuonea huruma Sana Ajibu ni kana ana balaa ktk Maisha yake. Hakujua kuangalia upepo maana wakati anaenda kujiunga yanga tyr Hali ilishaanza kubadilika kiuchumi kutoka Hali nzuri kuwa mbaya. Ajibu ana gundu asipokuwa makini ataishia kuwa rofa kma ngasa.
Unakosea sana sijaona kipya ndani ya simba
 
wachezaji walipewa nafasi ya kuongea lakini wakati wanaongea wengine wanaingilia kati matokeo yake wengine waliokuwa na pointi wakashindwa kuongea chocchote
 
Mnatafuta kisingizio cha kufungwa na Azam? Tumewashtukia na hiyo kesho tutakuja uwanjani kuona nani ana bandeji usoni..
 
Namuonea huruma Sana Ajibu ni kana ana balaa ktk Maisha yake. Hakujua kuangalia upepo maana wakati anaenda kujiunga yanga tyr Hali ilishaanza kubadilika kiuchumi kutoka Hali nzuri kuwa mbaya. Ajibu ana gundu asipokuwa makini ataishia kuwa rofa kma ngasa.
Ajibu alilenga kuikomoa Simba na menejimenti ya timu.Kwa kuwa mpira ni ajira kama ajira nyinginezo,tumuombee afanikiwe katika maisha yake ya soka.
 
Tatizo lipo kwa uongozi wa sasa wa Yanga, hawana uzoefu wa uongozi wa soka....wanadhani kuongoza timu kubwa ni lele mama...utamsikia kiongozi wa Yanga anasema 'kesho naleta bomu la nyuklia kwa usajili' mara utamsikia 'katika usajili mimihuwa sibabaishwi'...baadala ya kuzungumzia klabu mtuau kiongozi anajizungumiza yeye kwa sifa...viongozi lazima wakae na wachezaji na kuwaelewa...viongozi lazima waongee na wachezaji ...viongozi lazima wajue saikolojia ya wachezaji...kuongoza Yanga siyo jambo la mchezo...unjitolea na kuacha mambo yako mengi...halafu wapiga dili ndiyo wengi pamoja na wapiga majungu..yaani majungu mtindo mmoja kuanzia kwa wachezaji, viongozi, makomandoo, wanachama mpaka na waandishi wa habari... Yanga ya sasa ina wachezaji wazuri na tena basi ni new blood, ni vijana, ila wanakosa muunganiko because of weak leadership...ukiwa kiongozi wa Yanga ni lazima uwaelewe wachezaji wako na kuwapa hamasa...
Kwani Yanga walipochukua ubingwa, uongozi ulikuwa tofauti na huu uliopo sasa?

Vv
 
Back
Top Bottom