Fukwe za Kigamboni

Fukwe za Kigamboni

Mazee neno "fukwe" siku hizi lina maana mpya au vipi ?
 
Kiranga hata mimi nimeshangaa! hebu fafanua mkuu hiyo heading yako.
 
fukwe maana yake ni mwambao wa bahari au beach
 
Ni nini cha kushangaza hapo, mbona hata cocobeach ni hivyohivyo?
 
MIKADI+PRE+EVENT+31ST+JULY+215.JPG
 
Gama, hata mimi sioni cha kushangaza, labda kuna kitu anawaza lakini hajakisema. Mkuu fafanua.
 
kumbe siku hizi
FUKWE=sura za mabinti + their behinds?
 
Back
Top Bottom