Fulana Mpya zaanza kutikisa soko la Nguo Tanzania

Fulana Mpya zaanza kutikisa soko la Nguo Tanzania

unafiki ni ugonjwa mbaya na hatari sana, angalia sasa hadi wewe mwenyewe umejisahau unajifanyia unafiki.
 
Bado haijajulikana kwanini zimekuwa kivutio kwa kila mtu, na kutikisa soko la nguo haraka namna hii.

View attachment 3155133
ft.jpg

Sawa
 
Sidhani kama ni yeye.

Inashangaza, pamoja na wadau kujitahidi kurekodi lile tukio ili angalau kuwarahisishia polisi...lakini mpaka leo kimya.
Jeshi letu la polisi hovyo sana.
Mbona mgumu kuelewa?. Jeshi lenu ndo linaliteka raia!
 
Back
Top Bottom