Fulana Mpya zaanza kutikisa soko la Nguo Tanzania

unafiki ni ugonjwa mbaya na hatari sana, angalia sasa hadi wewe mwenyewe umejisahau unajifanyia unafiki.
 
Sidhani kama ni yeye.

Inashangaza, pamoja na wadau kujitahidi kurekodi lile tukio ili angalau kuwarahisishia polisi...lakini mpaka leo kimya.
Jeshi letu la polisi hovyo sana.
Mbona mgumu kuelewa?. Jeshi lenu ndo linaliteka raia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…