Fulana yenye Picha ya Rais Samia aliyovaa Harmonize kwenye Yanga Day ya kazi gani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuvaa fulana ya Mwanasiasa ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili kwenye Tamasha la Soka la Yanga, imeshangaza wengi.

Bado haifahamiki lengo hasa la kuvaa hivyo, Maana kama ni kampeni za Uchaguzi mbona Muda wake bado? Halafu kama ni kampeni mbona viongozi wanaokula Nchini akiwemo RC Chalamila na MwanaFA hawakuvaa Fulana yenye picha y Rais?
 
Ubunifu
 
Ndio maana mimi sijawahi kushabikia hayo ma Timu. CCM inayatumia hay matimu kama mtaji wa kuwapumbaza watanganyika na kuwatawala milele
 
Kuvaa fulana ya Mwanasiasa ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili kwenye Tamasha la Soka la Yanga, imeshangaza wengi.

Bado haifahamiki lengo hasa la kuvaa hivyo, Maana kama ni kampeni za Uchaguzi mbona Muda wake bado? Halafu kama ni kampeni mbona viongozi wanaokula Nchini akiwemo RC Chalamila na MwanaFA hawakuvaa Fulana yenye picha y Rais?
Jamani sasa si raisi wa nchi kuna tatizo gani msanii akivaa embu acheni hizo
 
Kuvaa fulana ya Mwanasiasa ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili kwenye Tamasha la Soka la Yanga, imeshangaza wengi.

Bado haifahamiki lengo hasa la kuvaa hivyo, Maana kama ni kampeni za Uchaguzi mbona Muda wake bado? Halafu kama ni kampeni mbona viongozi wanaokula Nchini akiwemo RC Chalamila na MwanaFA hawakuvaa Fulana yenye picha y Rais?
Iko wap mkuu......?
 
Back
Top Bottom