Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Vijana wanapambana kupiga pesa za wanasiasa. Ukiwasifia wanakupa pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo utaolewaYanga ni ya CCM mkuu. Fahamu leo hivyo.
Tuwekee hiyo video clip basi tuioneKuvaa fulana ya Mwanasiasa ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili kwenye Tamasha la Soka la Yanga, imeshangaza wengi.
Bado haifahamiki lengo hasa la kuvaa hivyo, Maana kama ni kampeni za Uchaguzi mbona Muda wake bado? Halafu kama ni kampeni mbona viongozi wanaokula Nchini akiwemo RC Chalamila na MwanaFA hawakuvaa Fulana yenye picha y Rais?
Acha uongo utaolewa
Wala haiko mbaliInchi hii mpaka zipigwe tu ndio tuheshimiane CCM ni majinga sana