Kuvaa fulana ya Mwanasiasa ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili kwenye Tamasha la Soka la Yanga, imeshangaza wengi.
Bado haifahamiki lengo hasa la kuvaa hivyo, Maana kama ni kampeni za Uchaguzi mbona Muda wake bado? Halafu kama ni kampeni mbona viongozi wanaokula Nchini akiwemo RC Chalamila na MwanaFA hawakuvaa Fulana yenye picha y Rais?