Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Atakuwa alimaanisha marcos evangalista de morais (cafu )Cafe ndio nani mkuu? Alikuwa anacheza rugby nini?
Fank leboeuf hakuwa fullback alikuwa anasimama pale kati na timu ya Taifa alisimika na yule mkungu wa kutukuka wa France laurent blanc huo ulikuwa ukuta mgumu mpaka wananyanyua kwapa mwaka 1998 kombe la dunia na style yake ya kubusu uwaraza wa bathez.Lilian Thuram, lauren etame Mayer, michel Salgado,Cafu...na yule mwehu leebouf!
Ikumbukwe Lahm ametumikia klabu moja tu katika career yake ya kusakata soka kwa ngazi za vilabu.
Alikuwa Stuttgart kwa mkopo nadhani.
Acha uzushi Mkuu, kabla ya Bayern Munich alichezea klabu ya Stuttgart kipindi ipo Daraja la Kwanza.
Walicheza pamoja na mshambuliaji Kevin Kuranyi na wote waliondoka kwa pamoja toka Stuttgart kwenda Munich.
nyamaza kama hujui vitu.Acha uzushi Mkuu, kabla ya Bayern Munich alichezea klabu ya Stuttgart kipindi ipo Daraja la Kwanza.
Walicheza pamoja na mshambuliaji Kevin Kuranyi na wote waliondoka kwa pamoja toka Stuttgart kwenda Munich.
Salgado alikua anageuzwa kama chapati na Ronaldinhokuna mtu mmoja alikuwa pale Real Madrid anaitwa Sargado alikuw n bonge la beki enzi zake...
nyamaza kama hujui vitu.
Hapo Juma Abdul bado kidogo niugue. Mkuu uache utani.cafu,ibrahim polisi,juma abdul
Fank leboeuf hakuwa fullback alikuwa anasimama pale kati na timu ya Taifa alisimika na yule mkungu wa kutukuka wa France laurent blanc huo ulikuwa ukuta mgumu mpaka wananyanyua kwapa mwaka 1998 kombe la dunia na style yake ya kubusu uwaraza wa bathez.