Full Back bora wa Kulia wa muda wote!

Full Back bora wa Kulia wa muda wote!

Huyu ndio Bora kuliko wote
tapatalk_1537977087065.jpeg
 
Kufuatia kutangaza kustaafu soka kwa beki wa Kulia wa klabu ya Bayern Munich Philip Lahm ifikapo mwisho wa msimu, Dunia ya soka itammiss Lahm moja kama beki bora wa kulia wa wakati wote katika mchezo wa soka. Ikumbukwe Lahm ametumikia klabu moja tu katika career yake ya kusakata soka kwa ngazi za vilabu.

Je ni beki gani wa upande wa kulia unahisi ni bora kwa wakati wote?
Mimi nampa Phillip Lahm ambaye alitwaa kombe la dunia akiwa kama nahodha pia amecheza mechi zaidi ya 500 bila kuoneshwa kadi nyekundu.
Cosmin contra, Mromania wa Atletico madrid na Getafe enzi hizo za miaka ya 2000 na Romania.
 
Kufuatia kutangaza kustaafu soka kwa beki wa Kulia wa klabu ya Bayern Munich Philip Lahm ifikapo mwisho wa msimu, Dunia ya soka itammiss Lahm moja kama beki bora wa kulia wa wakati wote katika mchezo wa soka. Ikumbukwe Lahm ametumikia klabu moja tu katika career yake ya kusakata soka kwa ngazi za vilabu.

Je ni beki gani wa upande wa kulia unahisi ni bora kwa wakati wote?
Mimi nampa Phillip Lahm ambaye alitwaa kombe la dunia akiwa kama nahodha pia amecheza mechi zaidi ya 500 bila kuoneshwa kadi nyekundu.
Mavumbi Omar.
 
Back
Top Bottom