full body check-up muhimbili hospital bado ipo?

full body check-up muhimbili hospital bado ipo?

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2010
Posts
344
Reaction score
58
nakumbuka kwenye mwezi wa kwanza au wa pili kuna daktari alikuwa anahojiwa na clouds fm hospitali ya muhimbili walianzisha huduma ya kufanya check up kwa magonjwa yote kwa ghrama ahueni kwa cku za jumamosi. kuna mwenye info kama hiyo huduma inaendelea?
 
What do you mean "full body check up"?
 
nakumbuka kwenye mwezi wa kwanza au wa pili kuna daktari alikuwa anahojiwa na clouds fm hospitali ya muhimbili walianzisha huduma ya kufanya check up kwa magonjwa yote kwa ghrama ahueni kwa cku za jumamosi. kuna mwenye info kama hiyo huduma inaendelea?

nadhani una maanisha, ROUTINE MEDICAL CHECK UP ambayo kwa kustahili kila mtu mzima anatakiwa afanyiwe kila mwaka (na sio kusubiri ati hadi umeugua)
huduma hii bado ipo pale muhimbili, fika mapokezi au pale emergency department na watakueleza utaratibu kamili
 
Back
Top Bottom