Full body chekup

Full body chekup

Inategemeana na vipimo utakavyotumia,mfano unaweza fanya check up ya
1.moyo,kifua,kichwa & mgongo kwa MRI Hapo andaa 700,000-800,000
2.fanya vipimo vya figo,ini,bandama-300,000
3.fanya vipimo vya magonjwa ya ndani,koo,tumbo,utumbo,kongosho-400,000
4.fanya vipimo vya mifupa ya mikono na miguu kwa CT scan hapo andaa kama 600,000
5.fanya vipimo vya milango ya fahamu,mdomo,pua,masikio, andaa 300,000
6.fanya vipimo vya macho-200,000
7.fanya vipimo vya cell na damu-300,000
8.fanyq vipimo vya ngozi-200,000

Bado dawa na mengineyo
Usidhani watu hawapendi kufanya check upa,matibabu ni issue Duniani kote kama huna pesa.
 
Hapo namba 1, moyo na kifua.
 
sasa hata paracetamol huzijui? kwamba hayo maumivu yana muda gani? si tuliambiana sisi waafrica hasa tanzania tunaishi na kuyazoea magonjwa refer covid mbona mmeanza kuasi kambi na hamsemi
Na hiki ndio kinachotumaliza, maumivu kidogo unaanza kujitandika madawa ya maumivi bila vipimo wala ushauri wa daktari. Vifo vya ghafla vimekuwa vingi. Maumivu kwenye kifua yanaweza kuwa ni matatizo ya moyo. Meza paracetamol ufe kifo cha ghafla.

Tuheshimu taaluma za watu waliokaa darasani kusoma na kufanya tafiti.
 
unaniandikia miherufi mikubwa kubwa nimekuambia mimi ni kipofu sioni? kwa nn unanifokea?
 
Back
Top Bottom