Serikali ina vilaza sana, yaani mnamtangamzia mtu kabisa kuwa yeye ndio priority.Shida ya kuwa na viongozi vilaza ndiyo hii! Wangekuwa wana akili, wasingetangaza huo mpango wao haram hadharani! Kwa kuitangazia dunia na Marekani ambao hawawaungi mkono kwenye huu uharamia wao; tayari wameshashindwa tangua hatua ya mwanzo kabisa.
Hujaelewa. Siyo kwamba hawajui walitendalo. Ni kwamba inaweza kuwa ni mbinu ya kupiga pesa kupitia mradi batili wa kumkamata Mange ambao wanajua kabisaa kwamba hautakaa ufanikiwe. Ila utawawezesha kufanikisha kuhalalisha kulipwa kwa kazi bandia walioifanya. Mange hatakamatwa na pesa kibao watapiga.Shida ya kuwa na viongozi vilaza ndiyo hii! Wangekuwa wana akili, wasingetangaza huo mpango wao haram hadharani! Kwa kuitangazia dunia na Marekani ambao hawawaungi mkono kwenye huu uharamia wao; tayari wameshashindwa tangu hatua ya mwanzo kabisa.
Huyu boga aliharibu kila mahali, sasa ndiyo AG? Kweli ndege wenye akili zinazofanana wanaruka pamoja, huyu ndiye anayelamba lamba matak& ya Samia. Eti DPP angalia kama tuna extradiction treaty with U.S, kweli wewe babu umejaa mavi kichwani. Hapo wanataka kupiga pesa za kumtafuta Mange Kimambi......Haiwezekani extradiction.....Labda awe UGANDA, hata Kenya wasingem-extradict hata kama si raia wao. Hawa mavi wanaolamba Matakuu ya bi shavu, chura bin kiziwi wana shida sana, kutwa nzima kupanua midomo yaoNchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.
Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA.
Moja kwa moja kwenye point;
1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi cha kutamka mbele ya camera.
2. Wakati Marekani inaangalia upya mfumo wake wa kimuingiliano na mataifa mengi ikiwemo Tanzania hilo linaongeza ugumu.
3. Kura kwa urefu wa kamba...
Point hii ni moja ya sababu kuandika huu uzi, kwa sababu kila kiongozi anaangalia eneo ambalo anaweza kupiga pesa.
Kupitia hii "TUTAMKAMATA" kuna uwezekano mkubwa sana ofisi hiyo kutumia rasilimali fedha nyingi ikiwa na kigezo cha kumtafuta na kumuweka mtegoni huyo binti.
Hivyo serikali itawekeza mali/pesa kwa njia yoyote ili kumnasa huyo binti, kitu ambacho baadaye tukiwa hai tutakuja kuanzisha mada nyingi sana hapa JF kushutumu ulaji wa fedha kwa kigezo cha Mange.
Yangu ni hayo kutokea Dodoma kwa sasa.
Exactly 💯 brotherHuyu ni mzanzibari? Tulioishi znz tunajua uwezo wa hawa ndugu zetu!!
Huyu ni msen***. Kazi uchawa tu. Amkamate dada wa taifa Tanganyika?Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.
Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA.
Moja kwa moja kwenye point;
1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi cha kutamka mbele ya camera.
2. Wakati Marekani inaangalia upya mfumo wake wa kimuingiliano na mataifa mengi ikiwemo Tanzania hilo linaongeza ugumu.
3. Kura kwa urefu wa kamba...
Point hii ni moja ya sababu kuandika huu uzi, kwa sababu kila kiongozi anaangalia eneo ambalo anaweza kupiga pesa.
Kupitia hii "TUTAMKAMATA" kuna uwezekano mkubwa sana ofisi hiyo kutumia rasilimali fedha nyingi ikiwa na kigezo cha kumtafuta na kumuweka mtegoni huyo binti.
Hivyo serikali itawekeza mali/pesa kwa njia yoyote ili kumnasa huyo binti, kitu ambacho baadaye tukiwa hai tutakuja kuanzisha mada nyingi sana hapa JF kushutumu ulaji wa fedha kwa kigezo cha Mange.
Yangu ni hayo kutokea Dodoma kwa sasa.
The first AG ambae hajapita law school, hawajawah kusimama kizimbani even once. How should we trust him?Kwa kosa lipi kwanza..huyo mtu hana sifa za kuwa AG hata kwa kumtizama tu! of all the legal issues surrounding the nation unamuongelea Mange..?
mleta uzi uko mbele ya muda!Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.
Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA.
Moja kwa moja kwenye point;
1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi cha kutamka mbele ya camera.
2. Wakati Marekani inaangalia upya mfumo wake wa kimuingiliano na mataifa mengi ikiwemo Tanzania hilo linaongeza ugumu.
3. Kura kwa urefu wa kamba...
Point hii ni moja ya sababu kuandika huu uzi, kwa sababu kila kiongozi anaangalia eneo ambalo anaweza kupiga pesa.
Kupitia hii "TUTAMKAMATA" kuna uwezekano mkubwa sana ofisi hiyo kutumia rasilimali fedha nyingi ikiwa na kigezo cha kumtafuta na kumuweka mtegoni huyo binti.
Hivyo serikali itawekeza mali/pesa kwa njia yoyote ili kumnasa huyo binti, kitu ambacho baadaye tukiwa hai tutakuja kuanzisha mada nyingi sana hapa JF kushutumu ulaji wa fedha kwa kigezo cha Mange.
Yangu ni hayo kutokea Dodoma kwa sasa.
Mleta uzi uko mbele ya muda!Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.