The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
kumbe na wewe unafata maneneo ya Mange kimambi, mexican cartel wamepewa contract, kichekesho hikiMange Kimambi ameishahojiwa na FBI na tayari wameisha mpa Mange taarifa nyeti za Serekali ya Samia kutoa tender kwa Mexican crime cartel kumpoteza Mange, huyu kibwetere anakuja hadharani kuanika mpango usiotekelezeka?
Anajaribu kumtambia nani kama sio euphoria ya uteuzi?
Extradition haiwezekani kwa raia kutoka marekani kupelekwa kwenye nchi ambayo tayari ni moja ya Banana 🍌 Republic....
Jamaa anaota ndoto ya mchana au anafanya maigizo tu.
Naamini umemsikia mtu anayeitwa Johari akiweka nadhiri ya kumkamata Mange. Ni tukio linalothibitishwa na mtonyo wa FBI siku moja kabla kwa Mange kuhusu mpango huo, Wewe kama huamini mimi naamini hivyo na ibaki hivyo.kumbe na wewe unafata maneneo ya Mange kimambi, mexican cartel wamepewa contract, kichekesho hiki
Aliye juu yao ni mwanamke so wachini yake wote ni lazima watakuwa na mambo ya kike kike ya kuendekeza visasi,kuanzisha migogoro isiyo na mbele wala nyuma. Kimsingi haya ndio madhara ya kuweka mwanamke katika uongozi eneo lolote lile wanapenda sana migogoro na mifarakano.
Sasa imagine mwanasheria mkuu anaacha kuwaza changamoto za kisheria inchini ikiwamo katiba mpya anaanza na ajenda za mipasho na maugomvi ya akina mama. Mange na Samia ni wanawake, kuparuana ni kawaida sana.
Wenye hekima walishasoma nyakati mapema na kusepa serikalini kuendelea na mishe zingine kitaa sababu ni kuona kuwa kwasasa huko serikalini kumejaa akili ya kike, so maamuzi ya kiume yataonekana ni tatizo yatakapopendekezwa.