Habari zenu,
Chinese Government Scholarships zimefunguliwa kwa sasa.
Ni full funded kwa undergraduate, masters na PhD
Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search csc scholarships, utakuta maelezo yote pale.
Kama utakwama sehemu wakati wa application nitafute Whatsapp kwa namba hapa chini.
Pia kama utataka msaada wa kufanyiwa application nitafute Whatsapp.
NB: Ukikwama msaada ni BURE ila kufanyiwa application sio bure, pia nikikufanyia application sio kigezo kwamba lazima upate.
Namba zangu za Whatsapp 0622905303
UWE NA PASSPORT KAMA HUNA PASSPORT USINITAFUTE.
Watu wengi Sana hapa duniani hawana hamasa ya kwenda kusoma au kwenda kuishi kwenye nchi ambazo zina tawala zenye itikadi za Siasa za Kikomunisti/Ujamaa kama vile China, Urusi, Belarus, Korea ya Kaskazini, Cuba, n.k. Endapo kama Scholarship hizi zingetangazwa na nchi za Maggaribi zenye utawala wa kibepari, naamini kwa dhati kabisa kwamba mpaka Sasa tayari uzi huu ungekuwa umefika mbali sana, na huenda pengine nafasi tayari zingekuwa zimejaa, kusingekuwa na scholarship tena.Habari zenu,
Chinese Government Scholarships zimefunguliwa kwa sasa.
Ni full funded kwa undergraduate, masters na PhD
Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search csc scholarships, utakuta maelezo yote pale.
Kama utakwama sehemu wakati wa application nitafute Whatsapp kwa namba hapa chini.
Pia kama utataka msaada wa kufanyiwa application nitafute Whatsapp.
NB: Ukikwama msaada ni BURE ila kufanyiwa application sio bure, pia nikikufanyia application sio kigezo kwamba lazima upate.
Namba zangu za Whatsapp 0622905303
UWE NA PASSPORT KAMA HUNA PASSPORT USINITAFUTE.
MCHAMBUZI WA MASUALA YA KISIASA NA ELIMU KUTOKEA RAMBO, MANZESEWatu wengi Sana hapa duniani hawana hamasa ya kwenda kusoma au kwenda kuishi kwenye nchi ambazo zina tawala zenye itikadi za Siasa za Kikomunisti/Ujamaa kama vile China, Urusi, Belarus, Korea ya Kaskazini, Cuba, n.k. Endapo kama Scholarship hizi zingetangazwa na nchi za Maggaribi zenye utawala wa kibepari, naamini kwa dhati kabisa kwamba mpaka Sasa tayari uzi huu ungekuwa umefika mbali sana, na huenda pengine nafasi tayari zingekuwa zimejaa, kusingekuwa na scholarship tena.
Nafahamu wazi kabisa kwamba moyoni mwako unautambua Ukweli huu mchungu kuhusu suala hili. Hata nafsi yako naamini inakusuta moyoni mwako.MCHAMBUZI WA MASUALA YA KISIASA NA ELIMU KUTOKEA RAMBO, MANZESE
Ni hivo ila Kuna baadhi wanapata ila ni kusaka kwa manatiSifa kubwa ni umri below 25 Kwa bachelor kama mtu kazidi apo?