Unajua mkuu unaongea Sana alafu sioni hoja kwenye maneno yako, hebu nioneshe hapo kwenye tangazo lako ni wapi ulisema kama imetumika miez 2? Habari ya kutumia miez 2 si umekuja kusema baada ya mie kuuliza kama ni mpya au used yenye condition nzuri?
Na kuhusu huyo jamaa wa 650000 mind you hatujashindwana tatizo we mgumu kuelewa, nimekwambia nilitaka kuangalia kama nitasave some amount kama nikifanya biashara na wewe, Kama ilivo kwa mteja yoyote yule, anapoona kitu anataka kuuziwa bei kubwa na akatokea muuzaji mwingine mwenye bei rafiki zaidi lazima mteja uwe interested ndo kilichokutokea hapa
Me ushauri wangu tu, sio usubiri hadi mtu aulize maswali eti ndo ukumbuke kupiga picha bidhaa yako,sio hadi mtu aulize maswali ndio ukumbuke kusema bidhaa yako imetumika kwa muda gani, me ni mteja naweza kununua bidhaa kwa muuzaji yoyote yule kama nikiridhika, ila wewe ni muuzaji huwezi kumuuzia mteja yoyote bidhaa kama hajaridhika, Jua kutofautisha. Best of luck brother