Full list of Governors & Senators elected in the 2013 General Election.

Full list of Governors & Senators elected in the 2013 General Election.

Msimamo unaonyesha kwamba ODM inaongoza kwa kuwa na masenator wengi kuliko chama kingine chochote. Labda baada ya uchaguzi wa county tisa ambazo bado ndipo TNA wanaweza kuongeza nguvu.

ODM – 11
URP - 08
WIPER - 04
TNA - 07
UDF - 02
KANU - 02
FORD KENYA - 01
FK - 01
NARC - 01
APK – 01
VACCANT (TBA) - 09

Kwa maana nyingine ni kwamba bado ODM wana nguvu ya kuzi control siasa za Kenya. Kwakuwa hata kwenye magovernor napo ODM imejizolea magovernor wengi kuliko chama kingine chochote.


Siasa za Kenya ni za kuwaachia wenyewe.
Hapo unaweza kusikia vyama viwili vimeungana na kuwa na maseneta wengi zaidi...

Na hiyo ni Given coz kuna watu watataka wawepo kwenye Serikali so itabidi wajiunge na Kenyatta mwenye Kenya yake...
 
Waungwana nafikiri cha kuangalia kwanza ni vyama gani vipo ndani ya muungano wa JUBILEE, na gani vipo ndani ya muungano wa CORD,na idadi ya Magavana , Maseneta na wabunge hapo ndipo mtaweza kujadili hili.
Vilevile kuangalia na vyama vingine vya kina Matiba, Mudavadi ,M. Karua na vingine vilivyopata Maseneta,Magavana
na wabunge na vipi misimamo yao watapenda kuwa upande wa Serikali au Upinzani?
 
Ukiitazama hiyo list na miungano ya vyama

[1] ODM + WIPER + Ford Kenya + FK # 11+8+1+1 = 20

[2] TNA + UPR + APK + NACK # 7+8+1+1 = 17

[3] UDF + KANU # 2+2 = 4

Hili group la tatu ni rahisi kujiunga na group la pili kwa maana ya kugawana madaraka ikumbukwe bado majimbo 9 hayajafanya uchaguzi.Kwa maoni yangu haitakuwa rahis kutawala Kenya bila kuwashirikisha kundi la Raila Odinga hapa na assume kesi haijaenda supreme court.
 
Lolote linaweza kutokea kwenye supreme court. Willy Mtunga anayomamlaka kamili yakumpiga chni Uhuru na Ruto.
 
Back
Top Bottom